John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Yanga tunamtaka "mai" wetu.Bado muda mfupi kujua wapinzani wa Simba na Yanga katika Hatua ya Robo Fainali na Nusu Fainali ya Azam Federation Cup.
Kuna uwezekano pia hata wa wababe hao wa Kariakoo kukutana wao kwa wao. Droo inachezeshwa leo Februari 21, 2022 saa tano asubuhi.
View attachment 2125697
Acha warukeruke tu.Yanga vs Pamba[emoji16]
Na mshindi wa mechi hizo za juu wanakutana Nusu fainali. Hivyo kuna uwezekano mkubwa Simba na Yanga zikakutana mapema nusu fainali.Simba vs Pamba
Yanga vs Geita gold
Watakutana, uwezekano ni mkubwaNa mshindi wa mechi hizo za juu wanakutana Nusu fainali. Hivyo kuna uwezekano mkubwa Simba na Yanga zikakutana mapema nusu fainali.