Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Kitawaka kesho wakati miamba miwili ya Soka la Tanzania Simba watakiwasha Dhidi ya Yanga. Mchezo ukipita ulimalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi mnono, lakini hiyo kesho tutarajie mchezo huo kukamilika kwa Sare hasa sare ya goli moja kwa Moja