kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Yanga win - 1Simba win - 6
Mkuu kwanza punguza jazba, kwani unateseka ukiwa wapi ..Fala ww 2015 simba hajawahi kumfunga yanga.. Simba alikula 2, 2 nje ndani kunguni wewe
Umeboronga ndugu kuwa mpole. Ila duuu umejidhalilisha sana asee mana umedanganywa na wewe ukaleta hapa[emoji23][emoji23]Mkuu kwanza punguza jazba, kwani unateseka ukiwa wapi ..
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Kudadadeki utauwa mtu mzee baba[emoji23][emoji23]Fala ww 2015 simba hajawahi kumfunga yanga.. Simba alikula 2, 2 nje ndani kunguni wewe
Huo sindano inakuchoma ukiwa wapi ndugu,punguza jazba omba maji unyweFala ww 2015 simba hajawahi kumfunga yanga.. Simba alikula 2, 2 nje ndani kunguni wewe
AchAna na mm wewe Mikia.. Keshokutwa tunawanyonya mavi nyie Filauni fcHuo sindano inakuchoma ukiwa wapi ndugu,punguza jazba omba maji unywe
Mwaka gani? Unapopinga pinga kwa data. Usikimbilie kutukana ukajikuta kumbe wewe ndiyo mpuuzi tuFala ww 2015 simba hajawahi kumfunga yanga.. Simba alikula 2, 2 nje ndani kunguni wewe
2000 Simba 2 Yanga 1Fala ww 2015 simba hajawahi kumfunga yanga.. Simba alikula 2, 2 nje ndani kunguni wewe
[emoji28][emoji28][emoji28]2000 Simba 2 Yanga 1
Yanga 2 Simba 0
2001 Simba 1 Yanga 0
Yanga 1 Simba 1
2002 Yanga 1 Simba 1
Simba 0 Yanga 0
2003 Yanga 2 Simba 2
Simba 0 Yanga 0
2004 Simba 2 Yanga 1
Yanga 0 Simba 1
2005 Yanga 1 Simba 2
Simba 2 Yanga 0
2006 Simba 0 Yanga 0
Yanga 0 Simba 0
2007 Yanga 1 Simba 1
Simba 1 Yanga 0
2008 Simba 0 Yanga 0
Yanga 1 Simba 0
2009 Yanga 0 Simba 0
Simba 4 Yanga 3
Itaendelea.....Andaa matusi kwani kuna mwaka utakutana na bomu la 5- 0 ambalo huwezi kulijibu kamwe
2000 Simba 2 Yanga 1
Yanga 2 Simba 0
2001 Simba 1 Yanga 0
Yanga 1 Simba 1
2002 Yanga 1 Simba 1
Simba 0 Yanga 0
2003 Yanga 2 Simba 2
Simba 0 Yanga 0
2004 Simba 2 Yanga 1
Yanga 0 Simba 1
2005 Yanga 1 Simba 2
Simba 2 Yanga 0
2006 Simba 0 Yanga 0
Yanga 0 Simba 0
2007 Yanga 1 Simba 1
Simba 1 Yanga 0
2008 Simba 0 Yanga 0
Yanga 1 Simba 0
2009 Yanga 0 Simba 0
Simba 4 Yanga 3
Itaendelea.....Andaa matusi kwani kuna mwaka utakutana na bomu la 5- 0 ambalo huwezi kulijibu kamwe
Ile kapigwa, kapigwa tena ilikua mwaka gani?
Ishu sio kuteseka tunataka data za kweli msidhani watu wapuuzi 2015/2016 hamjawahi kumfunga yanga chini hp ni mechi iliyopigwa 20 February 2016 natafuta nyengine niiweke hp mlipigwa nje ndani 2 bila raundi ya kwanza 2 bila raundi ya piliMkuu kwanza punguza jazba, kwani unateseka ukiwa wapi ..
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Mechi ya raundi ya kwanza ni hii ilikuwa September 2015Ishu sio kuteseka tunataka data za kweli msidhani watu wapuuzi 2015/2016 hamjawahi kumfunga yanga chini hp ni mechi iliyopigwa 20 February 2016 natafuta nyengine niiweke hp mlipigwa nje ndani 2 bila raundi ya kwanza 2 bila raundi ya piliView attachment 1837190
Hakuna kitukibaya kama uweke rekodi mwenyewe avunje mwingine siunajua yanga aliazisha ukorofi chukua maratatu mfululizo ,hili LA tarehe 3 simba kutangazia ubingwa nakuvunja rekodi aliyojiwekea siojambodogo ,anaaza kuweka yake.Mkuu kwanza punguza jazba, kwani unateseka ukiwa wapi ..
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app