Simba VS Yanga matokeo miaka (6)

Simba VS Yanga matokeo miaka (6)

Hakuna kitukibaya kama uweke rekodi mwenyewe avunje mwingine siunajua yanga aliazisha ukorofi chukua maratatu mfululizo ,hili LA tarehe 3 simba kutangazia ubingwa nakuvunja rekodi aliyojiwekea siojambodogo ,anaaza kuweka yake.

Ukikwete wawatu anavosema kama msola huwezi kazi katafute nyingine siokwamba mzee wamsoga kaamua kuchekesha watu......

Haliyetu yanga nimbaya kikubwa uzima
Mkuu nashukuru ww muelewa ..

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
 
2015
Yanga 0-0 Simba
Simba 1-0 Yanga

2016
Yanga 1-1 Simba
Simba 2-1 Yanga

2017
Yanga 1-1 Simba
Simba 1-0 Yanga

2018
Yanga 0-0 Simba
Simba 1-0 Yanga

2019
Simba 1-0 yanga
Yanga 0-0 simba

2020
Simba 2-2 yanga
Yanga 1-0 Simba
Simba 4 - 1 yanga

2021
Yanga 1-1 simba
Simba vs yanga



Yanga win - 1
Draw - 7


Tuanzie hapa
Matokeo ya mechi ya Zanzibar mbona siyaoni hapo??

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom