Mkuu nashukuru ww muelewa ..Hakuna kitukibaya kama uweke rekodi mwenyewe avunje mwingine siunajua yanga aliazisha ukorofi chukua maratatu mfululizo ,hili LA tarehe 3 simba kutangazia ubingwa nakuvunja rekodi aliyojiwekea siojambodogo ,anaaza kuweka yake.
Ukikwete wawatu anavosema kama msola huwezi kazi katafute nyingine siokwamba mzee wamsoga kaamua kuchekesha watu......
Haliyetu yanga nimbaya kikubwa uzima
Shabiki la uto katika ubora wako full nyembeee😂😂Fala ww 2015 simba hajawahi kumfunga yanga.. Simba alikula 2, 2 nje ndani kunguni wewe
sisi wazazi hufanya makosa ,hufundisha watoto wetu kupenda timu badala kuwaelekeza waujue mpira(wauchambue),club wapende kwahiari yao
Matokeo ya mechi ya Zanzibar mbona siyaoni hapo??2015
Yanga 0-0 Simba
Simba 1-0 Yanga
2016
Yanga 1-1 Simba
Simba 2-1 Yanga
2017
Yanga 1-1 Simba
Simba 1-0 Yanga
2018
Yanga 0-0 Simba
Simba 1-0 Yanga
2019
Simba 1-0 yanga
Yanga 0-0 simba
2020
Simba 2-2 yanga
Yanga 1-0 Simba
Simba 4 - 1 yanga
2021
Yanga 1-1 simba
Simba vs yanga
Yanga win - 1
Draw - 7
Tuanzie hapa