Mbogo nyeusi
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 233
- 541
Ipo hivi Simba ikiwa inacheza na mwadui FC na Simba ikashinda zomea zomea na maneno mengi yatarushwa kwa Yanga ambao hawahusiki na mechi husika ndivyo hivyo hivyo Yanga ikiwa inacheza na lipuli fc na ikashinda tambo zinapelekwa kwa Simba hali kadhalika wakifungwa tambo zinakuwa hivyo hivyo.
Simba ikiwa inacheza mechi za nje taabu kwa Yanga,hali kadhalika ikitokea Kama ya kaiz chief taabu kwa Simba,
Siku za hivi karibuni naona kwenye medani za siasa tumefika huko kwa ushabiki wa Simba na Yanga
Siku hizi kumeibuka uchadema na uccm,juzi nilikuwa naangali star tv kipindi cha Nyanda kipindi kilitawaliwa na mjadala wa chadema ikiwa wageni waalikwa walikuwa TLP,ACT na CCM, mjadala wao walijikita kurusha makombora kwa chadema ambapo mjadala hauku wahusu ndio maana hawakuwa na mwakilishi,hata ukipita mtandaoni utaona CCM wakinyukana na chadema,unakuta mjadali umeletwa na ACT au mtu yeyote utaona kitachomekwa CCM au chadema
Tumefikia patamu kuwa na vyama viwili vyenye nguvu japo kimoja hakijapata nafasi ya kuchukua nchi
Chadema wapo vizuri kuhusu mjadala wa Katiba unao endelea kwenye mitandao inawafanya waendelee kuwepo na kuwa na nguvu kwa kipindi hiki ambacho hawana sehemu ya kusemea
Vyama viwili vikubwa sasa ni chadema na CCM kwa wale wanao sema ni ACT naona wamepotea njia,