King kingo
JF-Expert Member
- Sep 6, 2010
- 401
- 26
\Kambi ya siku moja Manyoni ya nini? Kama sio mambo yaleeee yanaturudisha nyuma kwenye soccer. Kwa ninavyojua timu inatakiwa iende kufanya mazoezi mepesi siku moja kabla au siku ya mchezo asubuhi kwenye uwanja watakaochezea mechi ili wauzoee. Simba badilikeni ili soccer letu likue acheni mambo ya ajabu
man 2:2
simba 0:1
maumivu tu ngoja nikalale
Najisikia rahaaa mwenzenu Yanga kashinda na Arsenal kashinda we acha tu weekend tamuuuu