Simba vs Yanga Okt 16, 2010

Simba vs Yanga Okt 16, 2010

kataeni matokeo

semeni goli ni offside

ulalamishi kama huu tunausubiri uje kwa chadema

mwaka huu mtahesabia maumivu sana
 
mshaanza ulozi wenu.
kama kwenye siasa mngekuwa hivyo naamini tusingekuwa na mafisadi.
kama tumefungwa tukubali kwamba game haikuwa yetu leo ingawa tuliwashika kinoma babake
Kweli mkuu, yaani tumekosa nafasi 6 za wazi wao wamepata mbili moja wametumia kweli mpira dakika 90, hii game ilikuwa siyo ya kufungwa yanga wabovu tu
 
kama nyie mnavo jianda kukataa matokeo...Ujue Dr Slaa ndiyo rais wako kuanzia tarahe 31-10-2010 halafu mmeniudhi na yale matangazo yenu ati ametekeleza ahadi zake zipi? za maisha bora kwa kila mtanzania, eti kapambana na ufisadi **** kabisa...
Aisee nazungumzia habari ya Yanga hapa wala sio mafisadi... Nazungumzia Dar Young Africans. Mimi siko kabisa kwa hao mafisadi.
 
man 2:2
simba 0:1
maumivu tu ngoja nikalale
namsaka ASPIRIN nimnywe kisha niende NJENJE maana kulala ni kuongeza ndoto mbaya.
tumefungwa leo lakini tujipange kwani mechi moja ya yanga haitoi mwelekeo wa status yetu kwenye ligi.
 
kama nyie mnavo jianda kukataa matokeo...Ujue Dr Slaa ndiyo rais wako kuanzia tarahe 31-10-2010 halafu mmeniudhi na yale matangazo yenu ati ametekeleza ahadi zake zipi? za maisha bora kwa kila mtanzania, eti kapambana na ufisadi **** kabisa...
soka la bongo halikui kwa sababu tulalimix sana na siasa zetu chafu.
let soka be soka and let politics be as it is. distinguish the two and respect on their status.
 
Aisee nazungumzia habari ya Yanga hapa wala sio mafisadi... Nazungumzia Dar Young Africans. Mimi siko kabisa kwa hao mafisadi.
Samahani mkuu, ni mchanganyikia kipingo mara mbili nilikuwa na taka kumjibu mtu wa pwani
 
kataeni matokeo

semeni goli ni offside

ulalamishi kama huu tunausubiri uje kwa chadema

mwaka huu mtahesabia maumivu sana
kama nyie mnavo jianda kukataa matokeo...Ujue Dr Slaa ndiyo rais wako kuanzia tarahe 31-10-2010 halafu mmeniudhi na yale matangazo yenu ati ametekeleza ahadi zake zipi? za maisha bora kwa kila mtanzania, eti kapambana na ufisadi **** kabisa...
 
Yanga Oyee!!! Simba Ziii!!!!! Hongera kwa wale wote manazi na wapenzi wa kilabu hiki cha Jangwani
 
Mtakiona mwakani. Bahati yenu leo zaidi ya nusu ya wachezaji hawakuwa 100% fit
 
Back
Top Bottom