njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
yaan ajabu sana hawakujua kuna internatonal games? hii game trust me itapelekwa tarehe 24 au 25 octoberHawa waliopanga ratiba nahisi ni ndugu moja na topolo viongozi wa simba wasiwe wapole namna hiyo inabidi tuwabamize tena watafute sababu labda timu yao haina biology
fraga nje mwezi mmojaTucheze nao tuu
Tutawafunga 3-0 kwa wachezaji watakaobaki
1.Kakolanya
2.Duchu...