Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Kamba au?Simba anafungwa.
Hamna kitu kama hikoSimba 2 Yanga 1. Wafungaji Simba Kagere goli 2 na Yanga Saido kwa penalt.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
๐๐๐Mshana Jr kwa mara nyingine ametabiri klabu ya simba kupata ushindi mnono dhidi ya Yanga kwenye mechi itakayochezwa kesho tarehe 11/12 katika uwanja wa Benjamin Mkapa.
NB: haya ni maono hai
Daaah3-0
Ajib
Banda
Bocco
Jaribu tenaYanga 1 Simba 0. Imeisha hiyo
DaahHakuna sare kuna mtu anapasuka kesho
Droo lakini sio 1-1Mtanange wa Simba na Yanga ndio umekaribia, the wait is over!!
Kuelekea mchezo wa Simba na Yanga sio mbaya ukatupia ubashiri wako, mimi kama shabiki wa timu fulani, naiogopa zaidi Simba mbovu kuliko Simba nzuri.
Matokeo yangu ni 1-1
๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎTunza hii:
Mikia wasipokimbia mechi kesho wanapasuliwa.Idadi ya magoli haifahamiki wakikoswa pona pona yao mikia ni kudroo.