Simba Vs Yanga

Simba Vs Yanga

Kwasasa unadhani ipi ni timu bora na itabeba taji la ligi?

  • Total voters
    19

trojan92

Member
Joined
May 18, 2024
Posts
91
Reaction score
276
Timu ipi itabeba taji la ushindi wa Ligi kuu Tanzania msimu huu 2024/2025 kati ya Simba na Yanga?
1. YANGA
2. SIMBA

Piga kura yangu tuone ipi itabeba ubingwa
 
Timu ipi itabeba taji la ushindi wa Ligi kuu Tanzania msimu huu 2024/2025 kati ya Simba na Yanga?
1. YANGA
2. SIMBA

Piga kura yangu tuone ipi itabeba ubingwa
Julisha yanga kesha cheza na nani NBC premier league, endeleeni kubaki kileleni, kumbe wachezaji wa kigeni wa singida big stars bado hawajapata vibali toka TFF
 
Timu ipi itabeba taji la ushindi wa Ligi kuu Tanzania msimu huu 2024/2025 kati ya Simba na Yanga?
1. YANGA
2. SIMBA

Piga kura yangu tuone ipi itabeba ubingwa
Pigeni kura

Yanga anaongoza
 
Kisa simba imecheza mechi mbili mfululizo na vibonde wa ligi, tayari ameanza kulinganishwa kwenye safari ya ubingwa na mbabe Yanga!!

Yanga bado ataendelea kuwa bingwa wa ligi kuu kwa miaka 10 mfululizo.
Kushinda mechi mbili siyo jambo dogo ukizingatia mwisho wa ligi utofauti wa points unaweza kuwa mdogo na magoli ni muhimu.

Hapo kwenye “miaka kumi”, hiyo ni cloud 9. That’s were you’re walking.
 
Timu ipi itabeba taji la ushindi wa Ligi kuu Tanzania msimu huu 2024/2025 kati ya Simba na Yanga?
1. YANGA
2. SIMBA

Piga kura yangu tuone ipi itabeba ubingwa
Yani mechi mbili tu mnajitangaza mabingwa 😂😂😂😂😂😂😂

Hakika hamkokosewa kuitwa makolo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom