Julisha yanga kesha cheza na nani NBC premier league, endeleeni kubaki kileleni, kumbe wachezaji wa kigeni wa singida big stars bado hawajapata vibali toka TFFTimu ipi itabeba taji la ushindi wa Ligi kuu Tanzania msimu huu 2024/2025 kati ya Simba na Yanga?
1. YANGA
2. SIMBA
Piga kura yangu tuone ipi itabeba ubingwa
jamaa wnajichanganyaAcha ujinga kushinda vimechi viwili mshajikuta Yanga πππ
Kushinda mechi mbili siyo jambo dogo ukizingatia mwisho wa ligi utofauti wa points unaweza kuwa mdogo na magoli ni muhimu.Kisa simba imecheza mechi mbili mfululizo na vibonde wa ligi, tayari ameanza kulinganishwa kwenye safari ya ubingwa na mbabe Yanga!!
Yanga bado ataendelea kuwa bingwa wa ligi kuu kwa miaka 10 mfululizo.
Amecheza liniPigeni kura
Yanga anaongoza
Yani mechi mbili tu mnajitangaza mabingwa πππππππTimu ipi itabeba taji la ushindi wa Ligi kuu Tanzania msimu huu 2024/2025 kati ya Simba na Yanga?
1. YANGA
2. SIMBA
Piga kura yangu tuone ipi itabeba ubingwa
Yanga ipo nje ya 10 bora.Simbaa ..yanga hivi ni yangapi cuf?