Simba wa Teranga: Kikosi cha dhahabu kilichotikisa Dunia

Sio Senegal ile. Wewe unazungumzia Stars ya Maximo wakati wanatoka Brazil au unazungumzia ipi?
Najua sio hiyo Senegal inayozungumzia ila Na mimi nakumbushia Senegal iliyomlala Stars 5 (Stars ya Masikio Masikio)
 
ufaransa walilaani lile goli maana aliyefunga alikuwa amekaa chini ndio akauzogeza mpira kwenye nyavu,huyu mwenye jezi namba 11 alikuwa anaweza kumiliki mpira dakika 2
mechi ile ilichezwa siku ya ijumaa mchana ,ikiwa ni mechi ya ufunguzi wa kombe la dunia, ikihusisha bingwa mtetezi France na timu toka africa,
Mashabiki takribani elfu 60 hawakuamini bingwa mtetezi akidhalilishwa na timu changa toka africa.

watu kama kina Zidane, david trezegut, bathez, viel, thiery henry, Christian kalembeu.

daaah Miaka imekimbia.
 
Habari zenu wakubwa miaka hiyo nilikua songea ni chalii mdogo sana nakumbuka nilikua nacheza stika tu
Nilikua namsikia diof fediga na camara marehem baba akiwaongelea kwakua alikua shabiki wa Newcastle huyo diof alivyo kuwa anapambwa na kufananishwa na alan sheera
nikaanza kufatilia nilikua na mkubali tokea enz hizo nilikua napenda alivyo mbabe ndio alinifanya nimpende patrice viera kisa ubabe matokeo yake wakanitupa kulipenda janga ladunia arsenal bora ninge mfata mzee Newcastle kama nilivyo mfata kwa simba na leox leiws
 
Kumbe huyu dogo musonda wa Chelsea ana asili ya Zambia?
 
Mkuu hongera sana kwa kumbukumbu mjarabu za mpaka siku ya mechi ilivyochezwa.

Mechi ile Zidane hakucheza alikuwa anauguza majeraha paja akarudi mechi ya mwisho ya kundi lakini hakufua dafu.
 
Kilikuwa kikosi kizuri sana, diouf alikuwa hatari sana, nyuma kiungo pape bouba diop aka kabati. Game ya pili makundi na denmark 1-1 salif diao anamchambua schmeichel game ya tatu na uruguay 1st half wanaongoza 3 bila, 2nd half wakina forlan wanarudisha dakika za majeruhi beki ndiaye anaokoa shuti la forlan kwa kichwa kwani wangefungwa uruguay angeenda na denmark. 2nd round wanampiga sweden golden goal.......... Kikosi kilikuwa kizuri nidhamu ni changamoto kwa timu za kiafrika. Cameroun/masr za sasa zina nidhamu lakini hazifikii kipaji cha akina diouf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…