Tripple Jay
JF-Expert Member
- Jul 9, 2017
- 1,012
- 1,939
Aliwafunga goli la dhahabuHenry Camara nadhani WaSweeden hawawezi kumsahau Kirahisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliwafunga goli la dhahabuHenry Camara nadhani WaSweeden hawawezi kumsahau Kirahisi
Siki zote namsikitia fadiga.. maradhi ya moyo yalimnyima nafasi yake ya kufika mbali japo jamaa mpira alikuwa akiuujua sana
Papaa bouba diop aliweka ile kamba ya senegal.Hii ilikuwa Senegal bora kabisa iliyowahi kutokea.
Nakumbuka game ya kwanza World cup wanakutana na mabingwa watetezi Ufaransa, game inapigwa majira ya saa nane kwa saa za kwetu.
Diof anapiga cross matata kutoka kona ya kushoto, mabeki wa Ufaransa wanazembea, Barthez anapotea na Senegal wanapata goli la kwanza.
Wanakwenda kutolewa na Uturuki nakumbuka goli linafungwa na Hassan Sassi baada ya beki za Senegal kumsahau jamaa.
Hiki kilikuwa kikosi cha dhahabu.
Senegal ilikuwa na kipa bora kabisa
Kina Henry Camara
Yeye n kichs Bruno Metsu qakisha RIPPapaa bouba diop aliweka ile kamba ya senegal.