Simba wa Teranga: Kikosi cha dhahabu kilichotikisa Dunia

Simba wa Teranga: Kikosi cha dhahabu kilichotikisa Dunia

Hilo hpo goli la senegal dhid ya ufaransa
 

Attachments

  • France - Senegal 0-1 [FIFA World Cup 2002 Highlights].mp4
    3.8 MB
Siki zote namsikitia fadiga.. maradhi ya moyo yalimnyima nafasi yake ya kufika mbali japo jamaa mpira alikuwa akiuujua sana

mi namkumbukaga huyu fadiga alikua anaenda kurusha mpira,refarii akamwambia achomekee kwanza jezi ndio arushe mpira,basi akawa anachomekea huku anamuangalia refa kwa dharau sana,ile clip hadi ilirudiwa na mtangazaji alicheka sana.Kifupi kikosi hiki mpira walikua wanaujua sana na pia walikua wahuni sana.
 
Hii ilikuwa Senegal bora kabisa iliyowahi kutokea.
Nakumbuka game ya kwanza World cup wanakutana na mabingwa watetezi Ufaransa, game inapigwa majira ya saa nane kwa saa za kwetu.
Diof anapiga cross matata kutoka kona ya kushoto, mabeki wa Ufaransa wanazembea, Barthez anapotea na Senegal wanapata goli la kwanza.
Wanakwenda kutolewa na Uturuki nakumbuka goli linafungwa na Hassan Sassi baada ya beki za Senegal kumsahau jamaa.
Hiki kilikuwa kikosi cha dhahabu.
Senegal ilikuwa na kipa bora kabisa
Kina Henry Camara
Papaa bouba diop aliweka ile kamba ya senegal.
 
Back
Top Bottom