Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Mechi ya ufunguzi dhidi ya bingwa mtetezi wa Kombe la Dunia, Senegal anamfunga Ufaransa iliyotimia goli 1-0 na kuendelea hapo safari ikawa ni nzuri mpaka walipotolewa na Uturuki kwenye robo fainali ya Kombe la Dunia la mwaka 2002 pale Korea Kusini na Japan. Unakumbuka kikosi hiki? Unakumbuka matukio gani kuhusu kikosi hiki? Karibuni wadau mtiririke
Kipa akiwa ni Tony Silver, huku beki asiyecheka Ferdinand Colly akifanikisha msako wa kuzibiti washambuliaji wakorofi.Hii ilikuwa Senegal bora kabisa iliyowahi kutokea.
Nakumbuka game ya kwanza World cup wanakutana na mabingwa watetezi Ufaransa, game inapigwa majira ya saa nane kwa saa za kwetu.
Diof anapiga cross matata kutoka kona ya kushoto, mabeki wa Ufaransa wanazembea, Barthez anapotea na Senegal wanapata goli la kwanza.
Wanakwenda kutolewa na Uturuki nakumbuka goli linafungwa na Hassan Sassi baada ya beki za Senegal kumsahau jamaa.
Hiki kilikuwa kikosi cha dhahabu.
Senegal ilikuwa na kipa bora kabisa
Kina Henry Camara
Umit Davala, kwenye yale mashindano aliongoza kwa style mbaya ya kunyoa.Goli la uturuki lilifungwa na ilhan Mansiz kupitia cross ya Davala (huyu jamaa alikuwa na kiduku)
ufaransa walilaani lile goli maana aliyefunga alikuwa amekaa chini ndio akauzogeza mpira kwenye nyavu,huyu mwenye jezi namba 11 alikuwa anaweza kumiliki mpira dakika 2
RIP Mfungaji wa goli lile, Diop Papa Bouba
Mechi za makundi ,alishinda goli 2 dhidi ya Poland,akatoa sare na U.S.A,akampiga Portugal goli 1 pia akamshindilia Italy goli 2, baadae akamshindilia Spain kwa mikwaju ya penalti baadae akatolewa na Germany kwa kupigwa goli 1 na mwisho akacheza mshindi wa tatu na Uturuki najua unashangaa hivi kwa mpira gani iii Korea afikie hatua hiyo,lakini nikutoe hofu wakati huo south Korea ilipikwa ikapikika ile spidi ambayoanayo bwana Son pale Tottenham ndio spidi ambayo wachezaji wote 23 walikuwa nayo yaani ni balaaaa huku bwana Jisung Park yule mchezaji wa Manchester akipeppea upande wa kulia kama roboti hahahahaaa hatareeeee .2002(world cup).....South korea walifikaje semi-final?????
Mechi na Italy, S. Korea walibebwa sana kupita kiasi. Goli la Italy lilikataliwa. Mfungaji wa Korea Ahn Jung Whan alifukuzwa na timu yake ya Perugia baada ya mashindano.Mechi za makundi ,alishinda goli 2 dhidi ya Poland,akatoa sare na U.S.A,akampiga Portugal goli 1 pia akamshindilia Italy goli 2, baadae akamshindilia Spain kwa mikwaju ya penalti baadae akatolewa na Germany kwa kupigwa goli 1 na mwisho akacheza mshindi wa tatu na Uturuki najua unashangaa hivi kwa mpira gani iii Korea afikie hatua hiyo,lakini nikutoe hofu wakati huo south Korea ilipikwa ikapikika ile spidi ambayoanayo bwana Son pale Tottenham ndio spidi ambayo wachezaji wote 23 walikuwa nayo yaani ni balaaaa huku bwana Jisung Park yule mchezaji wa Manchester akipeppea upande wa kulia kama roboti hahahahaaa hatareeeee .
Ata na Spain kuna goli lilikataliwa.Mechi na Italy, S. Korea walibebwa sana kupita kiasi. Goli la Italy lilikataliwa. Mfungaji wa Korea Ahn Jung Whan alifukuzwa na timu yake ya Perugia baada ya mashindano.
2006 Italy walipendelewa kufidia uonevu wa 2002. Mfano ni mechi ya Italy v USA.
Hiyo staili leo 2020 ndiyo mtindo wa nywele unaobamba kwa Vijana wa kitaa ukiitwa KIDUKUUmit Davala, kwenye yale mashindano aliongoza kwa style mbaya ya kunyoa.
Na hao mastriker wote watatu walitoka kwenye michuano bila goli hata moja, waliishia kugongesha miamba tu.Licha ya kutoka mapema kwenye Kombe la Dunia, Ufaransa ilikuwa imesheheni mastraika wa nguvu.
Thiery Henry alikuwa mfungaji bora EPL
Djibril Cisse alikuwa mfungaji bora ligi ya Ufaransa
David Trezguet alikuwa mfungaji bora wa ligi ya Italy.
Lakini hawakufua dafu
Papa Bouba bonge la mtu, apunzike kwa amani huko aliko.View attachment 1641891RIP Mfungaji wa goli lile, Diop Papa Bouba
Kwa kiasi flan, ila ile ilikuwa tofauti kidogoHiyo staili leo 2020 ndiyo mtindo wa nywele unaobamba kwa Vijana wa kitaa ukiitwa KIDUKU
Nasikia Mane kapata majeraha ya kimkosesha kucheza Qatar?Sasa ni zamu ya akina Mane kututoa kimasomaso
Ilhan Mansiz ndo alitupiga Chuma ya dhahabu.Hii ilikuwa Senegal bora kabisa iliyowahi kutokea.
Nakumbuka game ya kwanza World cup wanakutana na mabingwa watetezi Ufaransa, game inapigwa majira ya saa nane kwa saa za kwetu.
Diof anapiga cross matata kutoka kona ya kushoto, mabeki wa Ufaransa wanazembea, Barthez anapotea na Senegal wanapata goli la kwanza.
Wanakwenda kutolewa na Uturuki nakumbuka goli linafungwa na Hassan Sassi baada ya beki za Senegal kumsahau jamaa.
Hiki kilikuwa kikosi cha dhahabu.
Senegal ilikuwa na kipa bora kabisa
Kina Henry Camara
Suleiman Camara + Henry Camara.. DahNamkumbuka mtu mmoja hatari wakuitwaga Camara dah ilikuwa hatari sana, mategemeo ya Africa yalizimika ghafla baada ya hawa jamaa kutolewa! Sijui kama itakuja kutokea tena hii!