Simba wababe Kinshasa, Yanga kuendeleza Ubabe wao kwa rekodi hapo Sokoine vs Mbeya City

Magema njoo huku uhitimishe uzi wako!!
Nani kama Yanga? Hongereni sana kwa kutupa burudani Safi huko mbeya! Nawapongeza sana kwa kupata pointi moja!! Mmeonyesha ubabe wa kufa mtu na burudani Safi ya soka, hongereni sana!
 
wababe wako Congo & Angola's wanapambana na kufanyiwa figisu na wanashinda uko, ww unachenza na timu inayo shuka daraja unashona kijora unajiita mbabe
 
Magema njoo huku uhitimishe uzi wako!!
Nani kama Yanga? Hongereni sana kwa kutupa burudani Safi huko mbeya! Nawapongeza sana kwa kupata pointi moja!! Mmeonyesha ubabe wa kufa mtu na burudani Safi ya soka, hongereni sana!
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚ poa mkuu
 
Hitimisho.
Mimi kama Magema Jr sijawah tabiri nikafeli !!!
Nimetabiri penalty leo imetokea tena!!
Nakushauri endelea kusoma makala zangu kwa tabiri mbalimbali za sokaπŸ‘πŸ‘πŸ“£
 
Yanga imekeketwa live na kudondosha point mbili muhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…