Pongo Pongo
JF-Expert Member
- Jan 15, 2021
- 473
- 586
Sikia huyu ety penalti fake.. hahahahaaayote hayo ni sababu ya penalty fake ya mugalu sio??
Nakusihi utoe huo mwiko huko nyuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikia huyu ety penalti fake.. hahahahaaayote hayo ni sababu ya penalty fake ya mugalu sio??
😅😅😅😂 poa mkuuMagema njoo huku uhitimishe uzi wako!!
Nani kama Yanga? Hongereni sana kwa kutupa burudani Safi huko mbeya! Nawapongeza sana kwa kupata pointi moja!! Mmeonyesha ubabe wa kufa mtu na burudani Safi ya soka, hongereni sana!
Yanga imekeketwa live na kudondosha point mbili muhimuBaada ya mabingwa wa soka Simba kuwaduwaza makamanda wa Congo AS Vita, kwa ushindi mwembamba na muhimu wa goli moja kwa nunge.
Leo ham ya watanzania wapenda soka,masikio ya wapenzi wakandanda wanasubiri kuona soka safi kutoka kwa wababe wa Ligi kuu VPL Young African.
Mengi yanazungumzwa na presha ya mechi ni kubwa sana mitaani hasa kwa mashabiki wa timu hizi kongwe.
Yote kwa yote tusubiri dk 90' za mwamuzi kuweza kuhakiki semi zetu!
Ft: Young 2 Mbeya City
(Kuna penalty)
Kuna uwezekano wa kama 46% kwa Mbeya City kupata goli.
Yanga kusinda 79%
Mbeya kushinda 18%
Sare 3%
#assalam aleykum
#magema jr