Simba wadai kombe la Muungano siyo kombe la ubingwa

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
9,524
Reaction score
13,682
Triple C mwamba wa Lusaka kaondoka kambini bila ruhusa baada ya uongozi wa Simba kutompa posho ya kombe la muungano.

Pia ana dai kuwa kwenye mkataba wake walikubaliana kila Simba iki chukua kombe anaongezewa mshahara sasa baada ya kubeba kombe Simba imesema hili sio kombe.

Mambo yamekuwa mambo 🤓😁😂
 
Ushahidi wa yote haya uko wapi? Tukisema Vijana wa Siku acheni tabia za Kupigiwa Miluzi kwani zinawaharibu hadi Akili zenu mnaona tunawaonea. Yaani hapa umeshatoka Kupigishwa zako Miluzi na Kuchoshwa vilivyo ukaamua kuja kumalizia Hasira zako kwa Kutunga Habari za Uwongo kuhusu Simba SC. Wanaume Wapiga Miluzi mna taabu mno.
 
Bado hujasema! Subiri nikubinue ndiyo utafahamu ni miluzi au nyimbo?
 
Hata kama hii taarifa itakuwa kweli sioni shida,maana hamna mchezaji atakaye kaa mda wote na timu,itafika mda atondoka,alikuwepo okwi,emanuael Gabriel,na wengineo wengi tu,Mimi Kama mwanasimba Kama cloutus chama atamua kuondoka binafsi nitamtakia kila heri huko aendako,Simba intaendelea kuwepo siku zote!
 
Ushahidi wa yote haya uko wapi? Tukisema Vijana wa Siku acheni tabia za Kupigiwa Miluzi kwani zinawaharibu hadi Akili zenu mnaona tunawaonea. Yaani hapa umeshatoka Kupigishwa zako Miluzi na Kuchoshwa vilivyo ukaamua kuja kumalizia Hasira zako kwa Kutunga Habari za Uwongo kuhusu Simba SC. Wanaume Wapiga Miluzi mna taabu mno.
Yule jamaa aliekufamania akakumbia achague kuliwa au kufa ulichagua nini?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom