Simba wadeni wenu wanakuja ;wanachama ulizeni hela za eto de sahel ziko wapi acheni ujinga

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Hizi timu zimekuwa zikiliwa sana na viongozi na saa asasaaa yanga timu ya africa tumeamua kuwaletea mdeni wenu ..kwa wale waliokuwa wakihangaika kujua hizi hela zimeenda wapi hawa jamaa wanakuja na uongozi mzima ulisoaini form za okwi


ni wakati muafaka wa wanachama kujipanga kuwapokea airport na kuomba kujua mustakabali wa pesa za okwi zimeenda wapi...msishangae kusikia zilishatumwa


nawatakia kila la kheri kwenye madeniyenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…