Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Hizi timu zimekuwa zikiliwa sana na viongozi na saa asasaaa yanga timu ya africa tumeamua kuwaletea mdeni wenu ..kwa wale waliokuwa wakihangaika kujua hizi hela zimeenda wapi hawa jamaa wanakuja na uongozi mzima ulisoaini form za okwi
ni wakati muafaka wa wanachama kujipanga kuwapokea airport na kuomba kujua mustakabali wa pesa za okwi zimeenda wapi...msishangae kusikia zilishatumwa
nawatakia kila la kheri kwenye madeniyenu
ni wakati muafaka wa wanachama kujipanga kuwapokea airport na kuomba kujua mustakabali wa pesa za okwi zimeenda wapi...msishangae kusikia zilishatumwa
nawatakia kila la kheri kwenye madeniyenu