Sema milion elfu mbili ndio utaeleweka.Jamaa mjanja Sana, kasha wakimbia tayari. Yaani uwanja wa watu 30, 000/= unao karibia thamani ya 40 bilion unachangia 2 bilion kweli?
Bakhresa anamiliki timu kama mali yake...Simba ni timu ya wanachama so wanachama wana wajibu wa kuwajibika kuleta maendeleo kwenye timu yaoBAKHRESA hakuhitaji michango na alifanya kimyakimya.
Ndiyo maana timu lake linafungwa kimyakimyaBAKHRESA hakuhitaji michango na alifanya kimyakimya.
Bakhresa ile ni timu yake aliyoitengeneza yeye mwenyewe, hata angeitisha michango nani angrjitokeza kuchangia?BAKHRESA hakuhitaji michango na alifanya kimyakimya.
Wazazi walipoteza ada.BAKHRESA hakuhitaji michango na alifanya kimyakimya.
Bosi janja janja kachangia bilioni 2 kujenga uwanja wa bilioni 40, aya wanachama tafuteni bilioni 38 msifikiri anawajengea uwanja sijui aliwahaidi nini wakati ananunua hisa, keshapata kamserereko ka wanachama kuchangia amechangamkia fursaNimepokea maoni mengi ya WanaSimba wenzangu wakishauri tujenge uwanja wetu na wako tayari kuchangia ili tufanikishe ujenzi huo. Naomba kuweka wazi kwamba nimepokea maoni hayo kwa mikono miwili...