Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani SIMBA haimilikiwi na MO?? Hujui kama MO ana hisa 49% au ukisikia mtu anahisa hujui kama ni mmoja wa wamiliki halali??Bakhresa ile ni timu yake aliyoitengeneza yeye mwenyewe, hata angeitisha michango nani angrjitokeza kuchangia?
Timu ni yetu,Bosi janja janja kachangia bilioni 2 kujenga uwanja wa bilioni 40, aya wanachama tafuteni bilioni 38 msifikiri anawajengea uwanja sijui aliwahaidi nini wakati ananunua hisa, keshapata kamserereko ka wanachama kuchangia amechangamkia fursa
Sasa hisa 49% ndio zinaonesha kua simba ni yake?Kwani SIMBA haimilikiwi na MO?? Hujui kama MO ana hisa 49% au ukisikia mtu anahisa hujui kama ni mmoja wa wamiliki halali??
Uyo bosi wenu aliwaambiaje wakati mnamkabidhi timu kuhusu uwanjaTimu ni yetu,
Lazima tuchangie ili tuachane na unyonyaji wa TFF
UNA ELIMU GANI WEWE??Sasa hisa 49% ndio zinaonesha kua simba ni yake?
Kuchangia ni hiari co lazima sasa wewe Lia na utupu wako.Wache wenye nacho wachangie.Haina kufeli.Wakuu tukiacha siasa za maji taka za Usimba na Uyanga. Nataka nichangie huu mjadala kwa namna tofauti, kwa namna ambayo nitaiweka kidogo kisomi na hapa naomba tuache ushabiki.
1. Simba ni kampuni ambayo iko na 2 shareholders, MO and Members on the other hand. Kwa mtiririko huohuo shareholders wako na share 49% na 51% respectively.
Kama ndio hivyo basi SIMBA SC ni Mali ya MO na WANACHAMA kwa upande mwingine. Hata hivyo kama SIMBA ni kampuni na hao ni wabia wake, haitakiwi mbia achangie kiasi fulani katika ujenzi wa ASSETS za Klabu kwa sababu shabiki akichangia ina maana unamwongezea MTAJI MMILIKI.
2. Ilitakiwa ifanyike analysis nzima juu ya gharama za ujenzi kisha gharama zile zigawanywe kwa uzito sawa na SHARES yaani kama ujenzi ni BIL 20 basi MO atapaswa kutoa Bil 9.8 na WANACHAMA Bil 10.2. Yes ni kampuni hivyo Mo hapaswi kusema watu wachangie wakati yeye ni mwanahisa na anapata INCOME through hiyo kampuni. Kwanini aombe michango wakati kampuni ni yake kwa 49%?.
3. Watanzania wenzangu, kabla ya kurukia kitu lazima mkae chini na mtafakari kwa kina juu ya masuala haya. MO anawakosea sana Simba, na always yy hujifanya kama anasaidia lkn ukweli ni kwamba yeye ni Mwanahisa kwanini atake mashabiki wamchangie? Kama ndio hivyo basi ajitoke kuwa mmoja wa wamiliki ili watu wachangie wakijua yeyote anaweza kuwa kiongozi wa SIMBA.
4. Rai yangu kwa wapenda michezo, haki na wapenzi wa hii klabu kupaza sauti na kugundua UTAPELI wa wazi anaofanya huyu MO DEWJI.
KWA UCHACHE NAWASILISHA.
NB. Kama uelewa wako kuhusu umiliki wa makampuni ni FINYU usiquote huu mchango.
Wewe una uwezo wa kujenga uwanja wa mpira wa miguu kwa shilingi ngapi ulizonazo tuanzie kwako kwanza ..Jamaa mjanja Sana, kasha wakimbia tayari. Yaani uwanja wa watu 30, 000/= unao karibia thamani ya 40 bilion unachangia 2 bilion kweli?
Ambae ajakuelewa basi anao utindio wa ubongo, na mimi nimeshangaa sana Kuona Mo anajitokeza haraka haraka kutaka watu wachangie alafu yeye katoa bilioni 2 wakati yeye ndo mmiliki wa simba kwa sasa, ina maana ameona gape la kuwapiga tena kwa kutoa kiasi kidogo cha fedha, uyu jamaa nimeamini kweli ni mjanja aliposikia sentensi ya wanachama kuchangia akajitokeza haraka haraka akijifanya kama vile anasaidia wakati ni jukumu lake hilo yeye na iyo ela katoa ndogoWakuu tukiacha siasa za maji taka za Usimba na Uyanga. Nataka nichangie huu mjadala kwa namna tofauti, kwa namna ambayo nitaiweka kidogo kisomi na hapa naomba tuache ushabiki.
1. Simba ni kampuni ambayo iko na 2 shareholders, MO and Members on the other hand. Kwa mtiririko huohuo shareholders wako na share 49% na 51% respectively.
Kama ndio hivyo basi SIMBA SC ni Mali ya MO na WANACHAMA kwa upande mwingine. Hata hivyo kama SIMBA ni kampuni na hao ni wabia wake, haitakiwi mbia achangie kiasi fulani katika ujenzi wa ASSETS za Klabu kwa sababu shabiki akichangia ina maana unamwongezea MTAJI MMILIKI.
2. Ilitakiwa ifanyike analysis nzima juu ya gharama za ujenzi kisha gharama zile zigawanywe kwa uzito sawa na SHARES yaani kama ujenzi ni BIL 20 basi MO atapaswa kutoa Bil 9.8 na WANACHAMA Bil 10.2. Yes ni kampuni hivyo Mo hapaswi kusema watu wachangie wakati yeye ni mwanahisa na anapata INCOME through hiyo kampuni. Kwanini aombe michango wakati kampuni ni yake kwa 49%?.
3. Watanzania wenzangu, kabla ya kurukia kitu lazima mkae chini na mtafakari kwa kina juu ya masuala haya. MO anawakosea sana Simba, na always yy hujifanya kama anasaidia lkn ukweli ni kwamba yeye ni Mwanahisa kwanini atake mashabiki wamchangie? Kama ndio hivyo basi ajitoke kuwa mmoja wa wamiliki ili watu wachangie wakijua yeyote anaweza kuwa kiongozi wa SIMBA.
4. Rai yangu kwa wapenda michezo, haki na wapenzi wa hii klabu kupaza sauti na kugundua UTAPELI wa wazi anaofanya huyu MO DEWJI.
KWA UCHACHE NAWASILISHA.
NB. Kama uelewa wako kuhusu umiliki wa makampuni ni FINYU usiquote huu mchango.
Kwani kablasha la makubaliano ya uwekezaji kati yenu na uyo mhindi juu ya ujenzi wa uwanja linasemaje tuanzie apo kwanza kabla atujarukia mambo mengineWewe una uwezo wa kujenga uwanja wa mpira wa miguu kwa shilingi ngapi ulizonazo tuanzie kwako kwanza ..
NdiyoYote hiyo ni sababu watoto wa Barbara wamezuiwa kuingia VViP....hehehe
Hela zetu, tunachanga sisi, tukitapeliwa ni sisi, hakuna haja ya ushauri kwenye matumizi ya pesa ya mtu.Wakuu tukiacha siasa za maji taka za Usimba na Uyanga. Nataka nichangie huu mjadala kwa namna tofauti, kwa namna ambayo nitaiweka kidogo kisomi na hapa naomba tuache ushabiki.
1. Simba ni kampuni ambayo iko na 2 shareholders, MO and Members on the other hand. Kwa mtiririko huohuo shareholders wako na share 49% na 51% respectively.
Kama ndio hivyo basi SIMBA SC ni Mali ya MO na WANACHAMA kwa upande mwingine. Hata hivyo kama SIMBA ni kampuni na hao ni wabia wake, haitakiwi mbia achangie kiasi fulani katika ujenzi wa ASSETS za Klabu kwa sababu shabiki akichangia ina maana unamwongezea MTAJI MMILIKI.
2. Ilitakiwa ifanyike analysis nzima juu ya gharama za ujenzi kisha gharama zile zigawanywe kwa uzito sawa na SHARES yaani kama ujenzi ni BIL 20 basi MO atapaswa kutoa Bil 9.8 na WANACHAMA Bil 10.2. Yes ni kampuni hivyo Mo hapaswi kusema watu wachangie wakati yeye ni mwanahisa na anapata INCOME through hiyo kampuni. Kwanini aombe michango wakati kampuni ni yake kwa 49%?.
3. Watanzania wenzangu, kabla ya kurukia kitu lazima mkae chini na mtafakari kwa kina juu ya masuala haya. MO anawakosea sana Simba, na always yy hujifanya kama anasaidia lkn ukweli ni kwamba yeye ni Mwanahisa kwanini atake mashabiki wamchangie? Kama ndio hivyo basi ajitoe kuwa mmoja wa wamiliki ili watu wachangie wakijua yeyote anaweza kuwa kiongozi wa SIMBA.
4. Rai yangu kwa wapenda michezo, haki na wapenzi wa hii klabu kupaza sauti na kugundua UTAPELI wa wazi anaofanya huyu MO DEWJI.
KWA UCHACHE NAWASILISHA.
NB. Kama uelewa wako kuhusu umiliki wa makampuni ni FINYU usiquote huu mchango.
Mkuu umesoma mishoni hapo? NB, NB, NBHela zetu, tunachanga sisi, tukitapeliwa ni sisi, hakuna haja ya ushauri kwenye matumizi ya pesa ya mtu.
Timu yake iko wapi?BAKHRESA hakuhitaji michango na alifanya kimyakimya.
We umechangia ngapi? Kwani timu yake?Jamaa mjanja Sana, kasha wakimbia tayari. Yaani uwanja wa watu 30, 000/= unao karibia thamani ya 40 bilion unachangia 2 bilion kweli?
Haya katoe wewe zakoWakuu tukiacha siasa za maji taka za Usimba na Uyanga. Nataka nichangie huu mjadala kwa namna tofauti, kwa namna ambayo nitaiweka kidogo kisomi na hapa naomba tuache ushabiki.