Simba wafanyiwa vurugu congo: Mashabiki wa As vita wavamia hotel ya Simba, Luis nusra apigane

Simba wafanyiwa vurugu congo: Mashabiki wa As vita wavamia hotel ya Simba, Luis nusra apigane

Sasa ya moyoni mwa mtu uwezi kujua, pili, angalia taarifa Mara Luis alitaka apigane, Mara Morrison alitaka kutoka nje akawapige. Serious unaweza ukaiamini hii habari.
Mwisho nilikuuliza vile kwa sababu ulienda kuwa attack moja kwa moja simba kua wasilete visingizio. Utafikiri hii habari umemsikia kiongozi au kwenye page ya simba ikiwekwa
Huyu ni chizi na kamwe hawezi kukubali kosa, cha muhimu ni kumpuuzia tuu. Halafu ID yake ya zamani sijui walimpiga ban
 

fujo pic

Mashabiki wa kikosi cha As Vita wamevamia kambi ya Simba iliyopo katika hoteli ya Rayol hapa Kinshasa muda mchache kabla ya kwenda uwanjani.

Mashabiki hao mara baada ya kufika hapa hotelini saa 11:10 jioni kwa saa za Kinshasa walianza kuimba nyimbo zao mbalimbali.

Wakiwa wanaimba nyimbo hizo walikuwa wakipiga jengo la hoteli ambao walikuwa wamefikia Simba.

Hawakutaka kumuona mtu yoyote ambaye hawapo nao anapita katika eneo hilo zaidi ya wao kufanya vurugu ikiwemo kupigana.

fujo pic 1

Mmoja wa wahudumu ambaye ni Mkongomani alikutana na kadhia ya kupokonywa simu na mashabiki hao akiwa anawarekodi.

Walinzi wa hoteli hiyo walishishirikiana kwa pamoja kuwazuia kuna muda walifanikiwa wakati mwingine walionekana kushindwa.

Baada ya kufanga vurugu mbalimbali nje ya hoteli hiyo ya Simba waliondoka wakiwa na pikikipi zao huku wakiwa wanaimba.

Kuna mashabiki walioshika silaha kama fimbo na walikuwa wanapigana na kuwapiga watu wengine.

Kuna ambao walikuwa wanaonyesha ishara mbalimbali kama ile ya kunyonga

Muda mfupi baada ya mashabiki wa AS Vita kuvamia hoteli ya Royal waliyofikia Simba mjini Kinshasa, leo Februari 12, 2020 winga wa timu hiyo, Bernard Morrison alitaka kuzichapa nao.

Morrison alitoka mlangoni akionyesha nia ya kuwafuata ila alizuiwa na walinzi wa hotel pamoja watu waliokuwa karibu nae.

Hata hivyo alirudishwa ndani ya hoteli na kutulizwa asifanye chochote na kutulia.

Simba imeanza msafara wa kwenda Uwanja wa Stade Des Martyrs kwa ajili ya mtanange wa hatua ya makundi CAF dhidi ya AS Vita utakaoanza saa 4 kamili usiku.
Yanga ndiyo wamefadhili hizo fujo
 
Nimemzidi Upumbavu aliyekuzaa?
And that confirms it

Hakuna haja kuingia kea wazazi because I don't even know Kama wa kwako wako hai au Ni wafu

Wewe ni mpumbavu mno, umepata malezi mabaya, yamekuharibu na Sasa unamangamanga tu

No wonder you are a failure
 
And that confirms it

Hakuna haja kuingia kea wazazi because I don't even know Kama wa kwako wako hai au Ni wafu

Wewe ni mpumbavu mno, umepata malezi mabaya, yamekuharibu na Sasa unamangamanga tu

No wonder you are a failure
Damn Fool.
 
Back
Top Bottom