Simba waifumua 2-0 Al Merriekh wakiwa Rwanda. Je, Kikosi kipo tayari kwa Msimu Mpya?

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,113
Simba SC inatarajiwa kurejea Dar es Salaam , Agosti 5, 2026, baada ya kukamilisha kambi yake ya maandalizi nchini Rwanda iliyojumuisha mechi tatu za Kagame Cup pamoja na mchezo mmoja wa kirafiki dhidi ya Al Merriekh ya Sudan.

1785845911470.png

Mara baada ya kurejea nyumbani, macho yote yataelekezwa kwenye tamasha la Simba Day litakalofanyika Agosti 8, ambapo Wekundu wa Msimbazi watavaana na Police FC ya Kenya katika mchezo wa kutambulisha kikosi cha msimu mpya.

Baada ya hapo, Simba haitakuwa na muda mrefu wa kupumzika kwani Agosti 12, 2026, itashuka dimbani kuivaa Yanga SC katika mchezo wa Ngao ya Jamii, utakaofungua rasmi msimu mpya wa soka nchini.

Kwa maandalizi haya, unaona timu iko tayari kwa msimu mpya?
 
Mangungu tuko nae bega kwa bega, mtu asimguse.
 
Simba Hakuna Mchezaji yoyote wa Maana imesajili Dirisha hili.

HII TIMU INA VIONGOZI WAZEE AMABAO WAMEKUWA WAPUMBAVU KAMA MAGOLI.
 
Back
Top Bottom