Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
AahaaaaaKlabu ya Simba SC imetangaza kuingia mkataba wa miaka (3) na kampuni ya Serengeti (SBL) Plisner Lager wenye thamani ya Tsh 1.5 Billion.
"Ni ubia wa nguvu kabisa, ubia wa Simba wawili. Hii ni package ambayo imekuja wakati mwafaka. Serengeti ni mbia mkubwa sana wa mpira wa Tanzania, huu ni mwendelezo wa kusaidia mpira."
"Udhamini huu utasaidia uendeshaji wa klabu, gharama za uendeshaji wa vilabu huwa ni kubwa. Upatikanaji wa fedha ni muhimu sana. Tunawashukuru kukubali kuungana nasi kama wadhamini wa Simba."
"Simba ni klabu ya (7) Africa kwa uwekezaji tunaoendelea kuufanya baada ya miaka 10 tunataka kuwa klabu namba 1 Duniani" amesema hayo CEO wa Simba Iman Kajula.
Hili swali atalijibu Ahmed Ally sababu yeye ndio ana data zote za Simba.Aahaaaaa
Baada ya miaka mingapi wanakuwa namba moja duniani?
AaaahaaaHili swali atalijibu Ahmed Ally sababu yeye ndio ana data zote za Simba.
HUYU CEO NI KILAZA SANA, BAADA YA MIAKA 10 WANATAKA KUWA NAMBA 1 DUNIANI? Anajielewa kweli au anatafuta sifa tu..."Simba ni klabu ya (7) Africa kwa uwekezaji tunaoendelea kuufanya baada ya miaka 10 tunataka kuwa klabu namba 1 Duniani" amesema hayo CEO wa Simba Iman Kajula.
Weka hata 1 million ndio utajua hiyo 20 Billion iliyowekwa utajua iko wapiHUYU CEO NI KILAZA SANA, BAADA YA MIAKA 10 WANATAKA KUWA NAMBA 1 DUNIANI?
B20 ZA MO MPAKA LEO KIZINGUMKUTI, zile hela za kujenga uwanja mlizochangisha mmeshajiwekea mfukoni halafu mnataka kuwa namba 1... Come On
sawaWeka hata 1 million ndio utajua hiyo 20 Billion iliyowekwa utajua iko wapi
Hayo ndio maneno wanayopenda kuyasikia mbumbumbu aka madundukaHUYU CEO NI KILAZA SANA, BAADA YA MIAKA 10 WANATAKA KUWA NAMBA 1 DUNIANI? Anajielewa kweli au anatafuta sifa tu...
Kwa uwekezaji upi huo mpaka muwe namba 1 duniani? Africa tu mmeshindwa sembuse huko duniani?
B20 ZA MO MPAKA LEO KIZINGUMKUTI, zile hela za kujenga uwanja mlizochangisha mmeshajiwekea mfukoni halafu mnataka kuwa namba 1... Come On
Aweke kama nani?Weka hata 1 million ndio utajua hiyo 20 Billion iliyowekwa utajua iko wapi
Na anahoji yeye kama nani?Aweke kama nani?
Malengo kwa mikakati ipi au malengo ya mdomoni ya kuwadanganya Mambumbumbu kama wewe?Sasa mlitakaje nyie watanzania? Club isiwe na malengo? Club lazima iwe na malengo ya juu na ni suala la kawaida hata Kwa binadamu wengine. Kama huna malengo makubwa basi huwezi kupambana na Kwa nguvu. Simba Wana malengo ya kufikia ambayo Kwa akili za wazembe wengi, wanadhani ni ndoto
Utopolo wakifikia nambari "selasini";Aahaaaaa
Baada ya miaka mingapi wanakuwa namba moja duniani?
Wewe unaijua mipango ipi ya Simba? Miaka Kumi na Tano nyuma ulijua Simba wangekuwa walipo Sasa kwenye soka la Afrika? Turuhusu akili zetu kufikiri na hii mihemko ya kishabiki ya kufikiri kila kitu si sahihi tuachane nayo. Mimi na wewe ni WA kuamka kila siku kwenda kwenye majukumu yetu. Mikakati ambayo ipo Kwa hizi timu hatuijui. Lakini ndo watu wa kwanza kubisha hata bila mantiki.Malengo kwa mikakati ipi au malengo ya mdomoni ya kuwadanganya Mambumbumbu kama wewe?
Klabu namba 7 afrika kwa uwekezaji?timu haina uwanja inasajili wachezaji wa mafungu huo ndo uwekezaji anaousema au?Klabu ya Simba SC imetangaza kuingia mkataba wa miaka (3) na kampuni ya Serengeti (SBL) Plisner Lager wenye thamani ya Tsh 1.5 Billion.
"Ni ubia wa nguvu kabisa, ubia wa Simba wawili. Hii ni package ambayo imekuja wakati mwafaka. Serengeti ni mbia mkubwa sana wa mpira wa Tanzania, huu ni mwendelezo wa kusaidia mpira."
"Udhamini huu utasaidia uendeshaji wa klabu, gharama za uendeshaji wa vilabu huwa ni kubwa. Upatikanaji wa fedha ni muhimu sana. Tunawashukuru kukubali kuungana nasi kama wadhamini wa Simba."
"Simba ni klabu ya (7) Africa kwa uwekezaji tunaoendelea kuufanya baada ya miaka 10 tunataka kuwa klabu namba 1 Duniani" amesema hayo CEO wa Simba Iman Kajula.
HAWATAKI UKWELI MKUUHayo ndio maneno wanayopenda kuyasikia mbumbumbu aka madunduka
Wapo wapi sasa,au kwenye hizi robo robo?Wewe unaijua mipango ipi ya Simba? Miaka Kumi na Tano nyuma ulijua Simba wangekuwa walipo Sasa kwenye soka la Afrika? Turuhusu akili zetu kufikiri na hii mihemko ya kishabiki ya kufikiri kila kitu si sahihi tuachane nayo. Mimi na wewe ni WA kuamka kila siku kwenda kwenye majukumu yetu. Mikakati ambayo ipo Kwa hizi timu hatuijui. Lakini ndo watu wa kwanza kubisha hata bila mantiki.