Simba waingia mkataba wa miaka mitatu na Pilsner Lager wenye thamani ya 1.5 BL

Simba waingia mkataba wa miaka mitatu na Pilsner Lager wenye thamani ya 1.5 BL

Ni pesa ndogo Sana, Kama walisema pesa ya Azam bilioni 40 kwa miaka kumi ni ndogo, wanawezaje kukubali mkataba wa hivyo
 
Ni pesa ndogo Sana, Kama walisema pesa ya Azam bilioni 40 kwa miaka kumi ni ndogo, wanawezaje kukubali mkataba wa hivyo
Huyu sio main sponsor.Hata ukilinganisha bado mkataba huu ni afadhali kwani miaka 3 ni milioni 500 kwa mwaka.
Bilioni 40 kwa miaka kumi ni bilioni4 kwa mwaka na ni mkataba mrefu.Mara 3 na zaidi ya huu unaoulinganisha na thamani ya pesa inapungua baada ya miaka 10 kulinganisha na miaka 3.
 
Huyu sio main sponsor.Hata ukilinganisha bado mkataba huu ni afadhali kwani miaka 3 ni milioni 500 kwa mwaka.
Bilioni 40 kwa miaka kumi ni milioni 400 kwa mwaka na ni mkataba mrefu.Mara 3 na zaidi ya huu unaoulinganisha na thamani ya pesa inapungua baada ya miaka 10 kulinganisha na miaka 3.
Bilioni 40 ni bilioni 4 kwa mwaka.
Udogo unakuja kwa sababu ni kampuni ya vinywaji, vingwkuwa vikampuni vidogodogo tungeusifia
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Bilioni 40 ni bilioni 4 kwa mwaka.
Udogo unakuja kwa sababu ni kampuni ya vinywaji, vingwkuwa vikampuni vidogodogo tungeusifia
Hawawezi kuwa na mkataba ambao unaupita wa Main Sponsor kifedha.
Lakini I get your point.
 
Hawawezi kuwa na mkataba ambao unaupita wa Main Sponsor kifedha.
Lakini I get your point.
Hicho nafahamu tatizo haya MAKAMPUNI yakidhamini event ya siku moja ama muziki au mamiss wanadhamini pesa ndefu.
So muda mrefu utasikia TBL wameidhamini yanga kwa pesa Mara mbili ya hiyo.
 
Duniani [emoji23][emoji848]wa tatu afrika sawa tusiichukulie poa dunia
 
Back
Top Bottom