Simba waipangia Pamba jiji namna ya kucheza, Ahmed Ally amewapa onyo wachezaji wasicheze kwa kukamia simba

Simba waipangia Pamba jiji namna ya kucheza, Ahmed Ally amewapa onyo wachezaji wasicheze kwa kukamia simba

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Ahmed Ally

“Tunawaomba Pamba Jiji Fc katika mchezo wa kesho wacheze mpira kwenye uwezo wao, wasicheze mpira wa hovyo wenye lengo la kutuumizia wachezaji wetu, Bado hatujasahau kesi ya Moses Phiri aliharibiwa kabisa maisha yake”

“Nawaomba sana Pamba Jiji wasicheze kwa kukamia wakatuumizia wachezaji wetu, tuna kibarua Kizito cha kuwakilisha Taifa katika Mashindano ya Kimataifa”
 
Maoni yetu mashabiki wa Pamba

Tusipangiane namna ya kucheza!

Huu ni uoga kwani hakuna wachezaji wa Tim nyingine walioumizwa na wachezaji wa Simba?

Tambua Kwamba Huo Unaochezwa Hapo Ni Mpira Wa Miguu!

Migongano na mikiki haikwepeki.
 
Mbona ulikimbia uzi wako wa wenye ujuzi na wachuuzi?? Rudi kule nikutie adabu siku nyingine Uwe na heshima nyang'au wewe
 
Wakiumiza mchezaji wanapewa red card, then tunawashushia kipigo cha mbwa koko, bellah ubwela..!
 
Back
Top Bottom