Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Keshakunywa supu ya bure huyo...😛😀Uzi umeishia hapo au kuna mwendelezo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Keshakunywa supu ya bure huyo...😛😀Uzi umeishia hapo au kuna mwendelezo?
Natural justice; freedom of speech and expression. This is my opinion about Simba, no one can stop me from giving my options on anything.You are just an attention seeker pretending to know something about Simba Sports Club.You know nothing Nada.Stick to your ghahwa drinking group.You wanabee sports analyst. GIve your advice to your team.They need morons like you.
.
Uzi umeishia hapo au kuna mwendelezo?
The time and space you are wasting it would have been better for you to enroll in English classes.Natural justice; freedom of speech and expression. This is my opinion about Simba, no one can stop me from giving my options on anything.
Do You think knowing English is a sign of being literate? Simba need another coach and some additional players to be able to compete.
nina uhakika ninakuzidi kwa pesa ya kula, huwezi kosa hela ya kula halafu uwe na hela ya bundle na muda wa jf. Tuliza kalio, jadili hoja.Majungu na uzushi ndio kazi pekee wajinga huzifanya kwa ustadi mkubwa. Hata ujaribu vipi kuwazuia kwamba heri wauze barafu ili kujiongezea kipato watagangamala na ujinga na uzushi.
Jinga linajifanya linajua kuliko wenyewe.
Unajitapa na hela ya kula?Mimi level hiyo sipo nimeipita miaka mingi.Weka namba ya Charity yeyote tuisaidie.Kiasi chochote utakachotoa mimi nitatoa mara 10.nina uhakika ninakuzidi kwa pesa ya kula, huwezi kosa hela ya kula halafu uwe na hela ya bundle na muda wa jf. Tuliza kalio, jadili hoja.
Mukwala kacheza kwenye timu yao ya taifa vs South A, mlimuona mchango wake?Katika timu ambayo inakiwango kidogo kwasasa ni yanga...mpaka mchezaji wa upizani apewe kadi nyekundu wabaki 8 na kupewa penati ndio washinde...yanga haiwezi kufika makundi club binga..tupo hapa
Aliekuambia una mimba changa hakukoseaMukwala kacheza kwenye timu yao ya taifa vs South A, mlimuona mchango wake?
Wakati mwenzie aucho aliifungia uganda magoli yote yale mawiliMukwala kacheza kwenye timu yao ya taifa vs South A, mlimuona mchango wake?