Simba wakiendeleza jadi yao ya uchawi

Simba wakiendeleza jadi yao ya uchawi

Dong Jin

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2018
Posts
968
Reaction score
2,034
Wakati kipindi cha pili kinaenda kuanza, Manura alielekea golini kwake na wakati anaweka taulo, kuna kitu cheupe alikitupa pale golini.

Huu ni muendelezo wa matukio kibao ya Klabu ya Simba kutumia ndumba. Tufike mahali tuache mpira uchezwe, hizi kamati za ufundi hazitusaidii kwa lolote.

Angalia hapo golini.
 
View attachment 2396538
Mzee mpili alishasemaga kuhusu uchawi wa hawa simba

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Wakati kipindi cha pili kinaenda kuanza, Manura alielekea golini kwake na wakati anaweka taulo, kuna kitu cheupe alikitupa pale golini.

Huu ni muendelezo wa matukio kibao ya Klabu ya Simba kutumia ndumba. Tufike mahali tuache mpira uchezwe, hizi kamati za ufundi hazitusaidii kwa lolote.

Angalia hapo golini.
Utopolo jiandaeni na mechi dhidi ya waarabu original, hiyo dabi imeshapita
 
Simba wakiroga wanapata sare hata kushinda hawashindi

Wanaroga muda mwingine wanapokea kichapo

Kama kwa Orando halafu yanga ikiwafunga wanasingizia wamepigwa kumbe wanakuwa wamekiuka mashariti ya waganga wao

Simba bwana jana wangefungwa wangesingizia wamerogwa!!
 
Wakati kipindi cha pili kinaenda kuanza, Manura alielekea golini kwake na wakati anaweka taulo, kuna kitu cheupe alikitupa pale golini.

Huu ni muendelezo wa matukio kibao ya Klabu ya Simba kutumia ndumba. Tufike mahali tuache mpira uchezwe, hizi kamati za ufundi hazitusaidii kwa lolote.

Angalia hapo golini.
View attachment 2396538
Siyo Simba tu na Yanga pia wana entertain sana huo ujinga ila. Nadharau ishu za kichawi kichawi.
 
Ni kweli ali mwaga unga mweupe ktk nguzo 1 ya goli. Kipindi cha pili kuanza
 
Hayo mambo ni ya kawaida sana kwa mpira wetu cha msingi angalia matokeo tu ya mwisho bac maana timu nyingi za ligi kuu ndy wanafanya ivyo..
 
Sijui kwanini Makolo wanapenda sana Ushirikina
IMG_20220727_222021.jpg
 
Back
Top Bottom