Halafu hii hapa ni editng ya kishamba sana. Ona jinsi ulivyopaka hiyo Rangi huko nyuma ya ukuta, huko kulia kwenye Rangi nyekundu ukijaribu kufuta uasili wa picha.Sijui kwanini Makolo wanapenda sana Ushirikina
View attachment 2396825
Naona umetumia paintbrush halafu huwezi kuitumia. Ulofa huu.