Simba wakiendeleza jadi yao ya uchawi

Sijui kwanini Makolo wanapenda sana Ushirikina
View attachment 2396825
Halafu hii hapa ni editng ya kishamba sana. Ona jinsi ulivyopaka hiyo Rangi huko nyuma ya ukuta, huko kulia kwenye Rangi nyekundu ukijaribu kufuta uasili wa picha.
Naona umetumia paintbrush halafu huwezi kuitumia. Ulofa huu.
 
Unajua wachawi wakati wote huwa na wasiwasi juu hilo jambo. Kwa vile wewe ni mchawi wakati wote unahofia kulogwa.
Wewe ndiyo MCHAWI.
 
Hapo tukimkagua mwilili unaweza kuta anachale hadi kwenye makalio halafu anajifanya eti hajui kama kuna uchawi
Na ndivyo walivyo wachawi, wanajihami kujisafisha waonekane wema kumbe ndiyo vigagula wa kutupwa.
Kuthibitisha hayo ndiyo maana siku zote wanapita njia/milango isiyo rasmi.
 
Bila mzee mpili kutangulia jumamosi taifa mlikuwa mfe umbwa nyie
 

Attachments

  • IMG_20221021_185011.jpg
    79.2 KB · Views: 1
  • IMG_20221021_185008.jpg
    109.2 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…