Simba wakiifunga Galaxy nipigwe ban

Kwa furaha niliyonayo
Subiri muamala tu hamna namna [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Winja winja......[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Wee niko hapa nasubirii message ile taamu yenye tarakimu za kushatoooo. Fanya kwelii bamsapuu wangu.
 
kwani we ilo litimu lako lenye kambi yanapopita maji taka ya chooni ni lakwenu au hujui kama ni la mzee msatafu mbona uwa mnapenda sana kujitoa ufahamu
Vyura ni wajinga sana mpaka sasa wanaamini kuwa timu ni ya wananchi wakati kuna mhuni mmoja kule alishaichukua timu kitambo.

Wamebaki tu kubetua midomo eti Simba imeuzwa πŸ˜‚πŸ˜‚

Siku zote nyani huwa halionagi kundu lake πŸ˜‚
 
Moderator kama kweli UNAMUOGOPA MWENYEZI MUNGU....! Timiza hiki KIAPO kwa huyu Mtu.

Unafki tuweke kando.
 
Mimi naona uolewe kwa wiki moja tu na utumikie majukumu ya ndoa.
 
Moderator unangoja nini mkuu?

Weka hii mutu korokoroni for 3 days tunamsamehe hizo siku nne maana aliomba apigwe ban ya week
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…