Member wanasimba?
Maandalizi ya ile game hayakuwa makubwa since waliamini wamepita baada ya ushindi wa goli 2 ugenini. Hii ni kesi tofauti.Kama ile Simba original ilikula tatu, hii tia maji tia maji tegemea lolota baya
Madini ya soccer huwezi kuyapata popote zaidi yanguUpupu...
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa.Japo Mimi ni mdau wa Michezo na napenda kuona timu za Tanzania zikitoboa kimataifa ila Kwa timu hii ya Simba ni ngumu kwenda robo fainali CAF champions league, kiwango ni kidogo sana, tutaaibika kimataifa.
Kiapo
Mimi kama Labani og nikiwa na akili timamu bila kushawishiwa na mtu na declare Kwamba kama makolo wakishinda naomba nipigwe ban ya week on the spot.
Baada ya mechi usizime dataInshort Galaxy hana timu ya kuifunga Simba.
Mzee mi ni Yanga ila sehemu inapohitajika kuweka ushabiki naweka na sehemu inapobidi nitumie akili natumia. Simba ana kikosi kibovu ila Galaxy ana kikosi kibovu zaidi. Data utazima wewe.Baada ya mechi usizime data
Jumapili saa 3 kuelekea 4 uwe hapaMzee mi ni Yanga ila sehemu inapohitajika kuweka ushabiki naweka na sehemu inapobidi nitumie akili natumia. Simba ana kikosi kibovu ila Galaxy ana kikosi kibovu zaidi. Data utazima wewe.
Labda madini ya chumvi...Madini ya soccer huwezi kuyapata popote zaidi yangu
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Wale jamaa watakuja kukamia heavilySimba Akienda Kindezi Anaweza Lazimishwa Sare