Simba wakiifunga Galaxy nipigwe ban

Simba wakiifunga Galaxy nipigwe ban

Japo Mimi ni mdau wa Michezo na napenda kuona timu za Tanzania zikitoboa kimataifa ila Kwa timu hii ya Simba ni ngumu kwenda robo fainali CAF champions league, kiwango ni kidogo sana, tutaaibika kimataifa.

Kiapo
Mimi kama Labani og nikiwa na akili timamu bila kushawishiwa na mtu na declare Kwamba kama makolo wakishinda naomba nipigwe ban ya week on the spot.
Sawa.
 
Mzee mi ni Yanga ila sehemu inapohitajika kuweka ushabiki naweka na sehemu inapobidi nitumie akili natumia. Simba ana kikosi kibovu ila Galaxy ana kikosi kibovu zaidi. Data utazima wewe.
Jumapili saa 3 kuelekea 4 uwe hapa
 
Back
Top Bottom