Simba wakiifunga Galaxy nipigwe ban

Simba wakiifunga Galaxy nipigwe ban

Japo Mimi ni mdau wa Michezo na napenda kuona timu za Tanzania zikitoboa kimataifa ila Kwa timu hii ya Simba ni ngumu kwenda robo fainali CAF champions league, kiwango ni kidogo sana, tutaaibika kimataifa.

Kiapo
Mimi kama Labani og nikiwa na akili timamu bila kushawishiwa na mtu na declare Kwamba kama makolo wakishinda naomba nipigwe ban ya week on the spot.

Kwanini haukuandika ban ya wapi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa ushindiii huu, hebu somesha muamalaa.
Unakaaje kizembee na mamsapu wako niko full shangwee?
Unaniangusha bhana, em fanya jambooo.
Kwa furaha niliyonayo
Subiri muamala tu hamna namna 🤣🤣🤣🤣🤣
Winja winja......🏃🏃🏃🏃
 
Back
Top Bottom