bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Ndio nachelea kusema Simba wamebaki kucheza na Propaganda zisizo na tija.
Simba wamebaki kujaza watu kwenye mitandao ya kijamii na kuwatumia wanaojiita wachambuzi kwa ajili ya Very Cheap Propaganda.
Hao wanaojiita wachambuzi hawana jema na Yanga wanajaribu kubadilisha uhalisia wa mambo na kuwa Uwongo, Yanga haina jambo zuri kwao kila kitu cha Yanga ni Kukosoa tu.
Walianza kukosoa Sajili za Yanga hasa Lomalisa leo kawaziba midomo, walikuja kwenye uchaguzi wa Yanga Yanga leo imetulia, walikosoa mabadiliko ya Yanga ila leo Yanga ni timu ya mfano ipo Kisasa zaidi.
Mbaya zaidi wamekuja mpaka matokeo ya viwanjani wao kila goli la yanga ni Jepesi au kipa kahongwa sasa yanga ina pesa gani za Kuhonga kina Manula ref shuti la Aziz K, Ahmada Ref Shuti la Aziz K, kipa wa Club Tunis Ref Shuti za Aziz K, Kipa wa namungo Ref shuti la Aziz K, Kipa wa Mtibwa Ref Shuti la Aziz K
Kwa wachambuzi wa Kibongo kwao hayo ni magoli mepesi ajabu wengine hata danadana hawajui kisa wanatumika na Simba.
Karibuni limeibuka suala la Feisal Salum wameanza maneno ati kuna mikono ya wana siasa ndio chanzo cha hukumu kuipendelea Yanga ila kwa Morrison hapana hizi kelele hazikuwepo wakati aliposhinda kesi yake na kwenda Simba
Uzuri Yanga ipo chini ya mashabiki na Viongozi hodari walioweka masikio pamba na kuzidi kusaka kilele cha mafanikio kwa kuzidi kufanya makubwa kama vile..
Kuunda timu makini iliyobeba Makombe Manne.
Kumfunga Simba hata wakiamshwa saa 7 Usiku.
Kuongeza mikataba kwa wachezaji muhimu wote.
Sasa wamekuja na chaneli yao rasmi ndani ya Azam Tv.
Kuingia makundi baada ya watu wote kuamini yanga haitofuzu.
Kuwa na kitengo imara cha digitalia halina ubishi.
Kuleta umoja baina ya mashabiki.
Kutengeneza jezi kali Afrika nzima.
Taarifa zote muhimu za kifedha kuandaliwa kitaalamu na kuwasilishwa hakuna Bilion 20 za cheki ya mchongo.
Kutengeneza nafasi kwa wadhamini na michakato kuwa ya uwazi..nk
Yapo mengi sana usipoyaona itabidi uanze kutumia milango yako ya fahamu kwa umakini zaidi.