Simba wakimpa thank you CHAMA ndio nitaamini wako serious na Mabadiliko, tofauti na hapo YANGA BINGWA 2024/2025

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2018
Posts
2,345
Reaction score
6,970
Hizi kelele za Thank You ni kama zimemponya Mangungu, vipi ndugu zangu tuwape muda au bado libeneke liko palepale?

Ngoja kwanza nicheke kikatuni Teh teh teh teh teh teh teh!

Huyu mchezaji huwa anadhihakiwa sana na mashabiki kwamba kachoka na anaichomesha timu kwenye mechi muhimu! Sasa nitashangaa kama asipopewa Thank you maana akiachwa sasa hivi baadae ikitokea akaharibu namuhurumia Mangungu atakavyosakamwa na wakaa vijiweni!

All in all YANGA BINGWA 2024/2025
 
Chama kila mwaka anasajiliwa yanga halafu anacheza kwa mkopo simba

Mkuu hizo Propaganda huwa wanaziandaa baadhi ya Viongozi wa Simba wakati huohuo wanakuwa wameshamjaza mchezaji adai nyongeza ya dau kubwa na baadhi ya wadau wa habari wanakuwa wamepewa mrungula ili nao wapige 10%,ni lini na wapi Yanga walimtaka Chama?

Yaani Yanga imuache mchezaji mwenye impact kwao na Afrika Aziz Ki wamsajili Chama?

Kwamba Yanga imuache Mchezaji mwenye Kiwango cha Juu PACOME imsajili Chama?

Mtakuwa hamko serious!

YANGA ATAKUWA BINGWA hadi HERSI ATAKAPO STAAFU URAIS PALE YANGA! (IWEKE KICHWANI MWAKO HII)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…