Kusema kweli kama kuna vitu nimefikia kujidharau sana, basi ni kushabikia hizi timu nikiamini ni timu za soka.
Ukweli ninaanza kuuona katika timu hizi ni usanii wa kiwango cha juu. Timu zimekuwa nyenzo za CCM kutawala akili za wapumbavu. Viongozi wa kisiasa wanaamua nani awe nani wakati gani?
Kama wanaweza kushawishi wachezaji wacheze chini ya kiwango ili wazidi kuwashika wapumbavu ,ni akili ya pekee sana.
Kampuni za kamari zanatengeza pesa sana kwa huu usanii katika timu.
Hata simba wakishinda kesho siwezi kuamini kuwa lilikuwa soka kweli.
Siwezi hata kuwa na furaha kama nilivyoona mambo zamani. Hizi Simba na Yanga ni mpango wa ovyo unaofaidisha wanasiasa hasa wa chama tawala.