Simba wakishinda Aprili 20, 2024, nitaamini wengi tumezidiwa sana akili na Wanasiasa

Simba wakishinda Aprili 20, 2024, nitaamini wengi tumezidiwa sana akili na Wanasiasa

Itakuwa wendawazimu kujilinganisha na timu za ulaya kwenye hili.Unawachezaji wapumbavu wenye kisirani kama Inonga,una wachezaji wanaodhani wanajua kama Ronaldo wakati ni uharo mtupu,halafu unajilinganisha na timu ambazo wachezaji wake wote wapambanaji kama Kibu Denis?
Ulaya ni ulaya na hapa bongo ni bongo.
Yaani leo ndio umegundua hili?
Pole sana kijana,ila hongera kwa kuanza kujikwamua taratibu.
 
Mbona kama mwiko nyuma mmevurugwa??? Nyie ni kina nani msifungwe? Hyo hyo Simba si iliwatia kimoja derby ilopita? Kwani mliondoka na clean sheet? Why leo isiwezekane kufungwa...naona mnakuja na vi theory uchwara hapa...yoyote anaweza kufunga au kufungwa...hamna ubora huo wa kutishia watu mmngekua bora mmngekua huko club Bingwa muda huu..mtasema mlinyimwa goli kwanini msifunge tena dkk zilizobakia? ...so mkae kwa kutulia...
 
Back
Top Bottom