Simba wakishinda Aprili 20, 2024, nitaamini wengi tumezidiwa sana akili na Wanasiasa

Yaani leo ndio umegundua hili?
Pole sana kijana,ila hongera kwa kuanza kujikwamua taratibu.
 
Mbona kama mwiko nyuma mmevurugwa??? Nyie ni kina nani msifungwe? Hyo hyo Simba si iliwatia kimoja derby ilopita? Kwani mliondoka na clean sheet? Why leo isiwezekane kufungwa...naona mnakuja na vi theory uchwara hapa...yoyote anaweza kufunga au kufungwa...hamna ubora huo wa kutishia watu mmngekua bora mmngekua huko club Bingwa muda huu..mtasema mlinyimwa goli kwanini msifunge tena dkk zilizobakia? ...so mkae kwa kutulia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…