Medecin
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 8,221
- 22,496
Japo Mimi ni mchambuzi tu na sina timu ila naomba kuungana na mchambuzi mwenzangu nguli mtaalam wa soka ndugu Labani og kuwa leo Yanga atashinda kirahisi mbele ya kikosi dhaifu cha makolo.
Yanga kifupi inapangika tu kuanzia golini hadi Namba 7 lakini kuanzia Namba 8 had 11 haipangiki hujui uanze na nani umuache nani
Utabiri wangu: Yanga 3 - 0 Simba
Soma Pia: Yanga SC VS Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024
NB: Kama Simba wakishinda naomba moderator mnipige week ban.
Utabiri wangu: Yanga 3 - 0 Simba
Soma Pia: Yanga SC VS Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024
NB: Kama Simba wakishinda naomba moderator mnipige week ban.