Simba wakishinda naomba moderator mnipige ban week nzima

Simba wakishinda naomba moderator mnipige ban week nzima

Japo Mimi ni mchambuzi tu na sina timu ila naomba kuungana na mchambuzi mwenzangu nguli mtaalam wa soka ndugu Labani og kuwa leo Yanga atashinda kirahisi mbele ya kikosi dhaifu cha makolo.

emoji23.png
emoji23.png
Yanga kifupi inapangika tu kuanzia golini hadi Namba 7 lakini kuanzia Namba 8 had 11 haipangiki hujui uanze na nani umuache nani
emoji23.png
emoji23.png


Utabiri wangu: Yanga 3 - 0 Simba

Soma Pia: Yanga SC VS Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

NB: Kama Simba wakishinda naomba moderator mnipige week ban.



1723101683847.jpg
Basi jiandae na ban, tuonane next week jumatano
 
Back
Top Bottom