Njaa uisikie kwa wenzako mkuu,ulimwona Canavaro alivyokuwa atatia huruma kumwelezea hali halisi manji ya njaa ya yanga,hawana hata aibu,mtu katoka matatizoni halafi unaanza kumwelezea shida zako,njaa mbaya sana,nimeamini ukiwa na njaa huoni aibu kabisaa