radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,440
- 32,260
Habari zilizotufikia hivi punde simba wako kwenye kikao kumtafuta mchezaji wa mbao mwenye kadi 3 za njano*
Hadi muda huu mabishano ni makali zaidi uongozi unataka kumtuma haji manara mwanza.
Nitaendelea kuwajuza mambo mengine kadri mada inavyokwenda.