marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
TIMU BOVU JANA MMEUMBUKA...HAHAHAHAHAHAHAHA[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kwa taarifa tu simba ndani ya wiki hii imeingiza zaidi ya million 550,000,000/=
mchanganuo mo Energy million 250,000,000/=,
sport pesa million 50,000,000/=
Na pesa za kiingilio takribani million 250,000,000/=
hapa tuchukulie makadirio ya chini kwa kusema walioingia uwanjani watu 50,000+ hakuna walio lipa viingilio vya VIP
pia mauzo ya jezi. Tunachukulia hawajauza jezi.
Simba ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91].View attachment 830557
TIMU BOVU JANA MMEUMBUKA...HAHAHAHAHAHAHAHA[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hapo nafikiri umeangalia tu viingilio mkuu vipi kuhusu mauzo ya JerseyShida gharama nazo ni kubwa.
Gharama ya uwanja
Umeme uliotumika maana mechi imeenda mpk usiku
Gharama za asante kotoko mf tiketi za ndege,hotel, uwanja wa mazoezi basi LA kuwabeba.
Kuna mgao wa drfa, na wengineo.
Vat
Marefa posho zao
Halafu Kuna gharama huwa sizijui ni za nn wenyewe wanaita maandalizi ya mechi.
Ukitoa vyote utakuta imebaki 50M.
Mkuu 90% ya waliovaa jezi ni za zamani Tz bado utamaduni wa kununua jezi haupo sana.Hapo nafikiri umeangalia tu viingilio mkuu vipi kuhusu mauzo ya Jersey
Kwani wamecheza mechi ngapi, ombeni mechi ya kirafiki ili muwafungePia tangu watoke uturuki hawashinda mechi hata moja mpaka sasa
Wengine wanasema Uturuki walipeleka ngadaPia tangu watoke uturuki hawashinda mechi hata moja mpaka sasa
Juzi huku Moro zilikuwa zinauzwa buku 9 hizo jezi zinazofanana na za simbaUkiwa na akili bora uwekeze kwenue soka badala kwenyee mashamba ama mifugo.
MO kaona mbali sana. He is born pure businessman. Unapokuwa na watu 50m kwa dar pekee yake wapo nyuma yako aisee!!! Hiyo ni resource kubwa sana.
Fanya hesabu tuchukue Okwi peke yake Jezi yake inaweza kuuzika mikoa yote say 20 tuliyonayo kila mkoa jezi 500.( kila wilaya jezi 100 approx)
500 × 20 = 10000 (idadi ya jezi)
Kila jezi fanya 15,000 × 10000 = 150m
Huyo ni Okwi pekee.; kwa jezi tu.
Si vizuri kutangaza shibe ilihali jirani yako yuafa njaa,Tabia hii ndio huzaa roho mbaya na kichawi kama jamaa zetu.