Simba wako kwenye mavuno

Simba wako kwenye mavuno

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
Kwa taarifa tu simba ndani ya wiki hii imeingiza zaidi ya million 550,000,000/=

mchanganuo mo Energy million 250,000,000/=,
sport pesa million 50,000,000/=

Na pesa za kiingilio takribani million 250,000,000/=
hapa tuchukulie makadirio ya chini kwa kusema walioingia uwanjani watu 50,000+ hakuna walio lipa viingilio vya VIP

pia mauzo ya jezi. Tunachukulia hawajauza jezi.

Simba ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91].
IMG_20180808_230845_591.jpg
 
Kwa taarifa tu simba ndani ya wiki hii imeingiza zaidi ya million 550,000,000/=

mchanganuo mo Energy million 250,000,000/=,
sport pesa million 50,000,000/=

Na pesa za kiingilio takribani million 250,000,000/=
hapa tuchukulie makadirio ya chini kwa kusema walioingia uwanjani watu 50,000+ hakuna walio lipa viingilio vya VIP

pia mauzo ya jezi. Tunachukulia hawajauza jezi.

Simba ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91].View attachment 830557
TIMU BOVU JANA MMEUMBUKA...HAHAHAHAHAHAHAHA[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Sio vizuri kutangaza hivi utawafanya kibubu fc waombe kuokota hata mipira ya simba wakati wanacheza mechi za kimataifa
 
Shida gharama nazo ni kubwa.
Gharama ya uwanja
Umeme uliotumika maana mechi imeenda mpk usiku
Gharama za asante kotoko mf tiketi za ndege,hotel, uwanja wa mazoezi basi LA kuwabeba.
Kuna mgao wa drfa, na wengineo.
Vat
Marefa posho zao
Halafu Kuna gharama huwa sizijui ni za nn wenyewe wanaita maandalizi ya mechi.
Ukitoa vyote utakuta imebaki 50M.
 
Hapo nafikiri umeangalia tu viingilio mkuu vipi kuhusu mauzo ya Jersey
 
Hapo nafikiri umeangalia tu viingilio mkuu vipi kuhusu mauzo ya Jersey
Mkuu 90% ya waliovaa jezi ni za zamani Tz bado utamaduni wa kununua jezi haupo sana.
Marketing managers wanatakiwa wahamasishe sana. Na kumbuka timu haichukui mapato yote ya jezi ni % ndogo tu inaenda kwa timu.
 
Ukiwa na akili bora uwekeze kwenue soka badala kwenyee mashamba ama mifugo.

MO kaona mbali sana. He is born pure businessman. Unapokuwa na watu 50m kwa dar pekee yake wapo nyuma yako aisee!!! Hiyo ni resource kubwa sana.

Fanya hesabu tuchukue Okwi peke yake Jezi yake inaweza kuuzika mikoa yote say 20 tuliyonayo kila mkoa jezi 500.( kila wilaya jezi 100 approx)

500 × 20 = 10000 (idadi ya jezi)

Kila jezi fanya 15,000 × 10000 = 150m

Huyo ni Okwi pekee.; kwa jezi tu.
 
Juzi huku Moro zilikuwa zinauzwa buku 9 hizo jezi zinazofanana na za simba
 
Back
Top Bottom