Simba wako level moja na Coastal Union sasa hivi

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Simba na Coastal union watashiriki kombe la Losers msimu ujao, kiufupi Simba na Coastal wako level moja sasa hivi. Azam wako level moja na Yanga.

Kwahiyo Simba wanatakiwa wakae na Coastal wapange mikakati ya namna ya kutoboa kombe la Losers.

Ndio maana wanasajili wachezaji wa kawaida mno, wachezaji ambao hawana tofauti na wale wanaosajiliwa na Coastal au Singida Black Stars, hata Singida wanasajili vzr kuliko mnyama.

This is an out and out disgrace.
 
Simba na Coastal union watashiriki kombe la Losers msimu ujao, kiufupi Simba na Coastal wako level moja sasa hivi.
Azam wako level moja na Yanga.

Inawezekana umekasirishwa na jambo ambalo lime-cloud your mind.

Katika msimu ambao Simba wamefanya/watafanya sajili za maana basi ni msimu huu. Na kama tetesi zitakamilika hasa kwa kumleta Mpanzu au Jean Ohoua basi hii Simba itakuwa iliyofanya usajili bora zaidi katika karne hii ya 21.

Ni wakati pekee, hata ikitokea Simba imeshindwa kufanya vizuri basi siwezi toa lawama kwa kamati ya usajili.

N.B. Hiki nilichokisema hakina uhusiano wa kelele za 'Hii ni Mali' bali uwezo(actual) wa mchezaji.

(Anayehusika na usajili Msimu huu alindwe kwa gharama yeyote, Huyo ni Perez wa Simba-Kudos kwake).
 
Simba na Coastal union watashiriki kombe la Losers msimu ujao, kiufupi Simba na Coastal wako level moja sasa hivi.
Azam wako level moja na Yanga.
Kwahiyo Simba wanatakiwa wakae na Coastal wapange mikakati ya namna ya kutoboa kombe la Losers.
Ndio maana wanasajili wachezaji wa kawaida mno, wachezaji ambao hawana tofauti na wale wanaosajiliwa na Coastal au Singida Black Stars, hata Singida wanasajili vzr kuliko mnyama.
This is an out and out disgrace.
mzeee naomba namba yako nikucheki
 
Sema wabongo tuna Ushamba na Ulimbukeni mwingi sana. Hayo mashindano Zamaleki, Wydad, Orlando huwa wanashiriki lakini huwezi sikia kejeli za kuunderstimate kiasi hiki.
 
Simba na Coastal union watashiriki kombe la Losers msimu ujao, kiufupi Simba na Coastal wako level moja sasa hivi.
Azam wako level moja na Yanga. Kwahiyo Simba wanatakiwa wakae na Coastal wapange mikakati ya namna ya kutoboa kombe la Losers.
Naona kama vile umeingia dalili za uoga wa kutolewa mapema klabu bingwa. Usitupangie, tutafuatilia mechi zote, za Yanga na za Simba 😁 😁 😁
 
Ngoja kwanza watolewe mapema,
Hatar makundi hawanusi hawa,,
 
Duuuh Simba imefikia hatua ya kufananishwa na Coastal kweli??

Back
Top Bottom