Simba wako level moja na Coastal Union sasa hivi

Simba wako level moja na Coastal Union sasa hivi

Mwaka huu simba wameamua kusajili wachezaji warefu kupita goli hawataki utani
 
Simba na Coastal union watashiriki kombe la Losers msimu ujao, kiufupi Simba na Coastal wako level moja sasa hivi.
Azam wako level moja na Yanga.
Kwahiyo Simba wanatakiwa wakae na Coastal wapange mikakati ya namna ya kutoboa kombe la Losers.
Ndio maana wanasajili wachezaji wa kawaida mno, wachezaji ambao hawana tofauti na wale wanaosajiliwa na Coastal au Singida Black Stars, hata Singida wanasajili vzr kuliko mnyama.
This is an out and out disgrace.
Wewe ni nyuma mwiko ya Simba yanakuhusu nini? Tuondolee uzumbukuku wako hapa.
 
Kumsema jirani dhambi mufate mwambie sasa namwambiaje yupo kwama losers ma loser oooye shirikisho,champions league aaaah
 
Simba na Coastal union watashiriki kombe la Losers msimu ujao, kiufupi Simba na Coastal wako level moja sasa hivi. Azam wako level moja na Yanga.

Kwahiyo Simba wanatakiwa wakae na Coastal wapange mikakati ya namna ya kutoboa kombe la Losers.

Ndio maana wanasajili wachezaji wa kawaida mno, wachezaji ambao hawana tofauti na wale wanaosajiliwa na Coastal au Singida Black Stars, hata Singida wanasajili vzr kuliko mnyama.

This is an out and out disgrace.
Ujumbe huu umfikie mzee most talented charisma fella
 
Back
Top Bottom