Simba walibebwa haikua penalty halali

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
"Salmin Hoza hana yeyote wa kumlaumu, refa kwanza hakuwa karibu, kwa hiyo alipaswa kufahamu hilo na unapocheza namna ile unampa advantage yule ambaye anashambulia kujiangusha. Kwangu mimi haikuwa penalty ila Salmin Hoza alipaswa kuwa makini" [emoji2788] @geoff_lea ndani ya @crownsports_cm ya @crownfmtz muda huu.
 
penati gani hiyo ya mchongo? refarii hana hata chembe ya aibu! alitaka kupuliza kona akafkikil kisha ikawa penalt,penati gan inapatkana kirahsi hivyo? mpira ulitolewa but ikawa penalt....!
 
penati gani hiyo ya mchongo? refarii hana hata chembe ya aibu! alitaka kupuliza kona akafkikil kisha ikawa penalt,penati gan inapatkana kirahsi hivyo? mpira ulitolewa but ikawa penalt....!
Kwan huelew kuwa Makolo ndio timu inayoongoza kupata penalty [emoji23]
 
Ndio basi tena!
 
Bado hamjasemaaa, msimu huu ni ubaya ubwelaaa , tajiri karudi tuliwadekeza sana , mkawa mnafaidika ma point ya bure kubebwa , sasa safari hii lazima tushinde kila mechi iwe hata kwa goli la offside kama mlilowapiga Kengold
 
Bado ubingwa utaenda Kwa wananchi
 
Mtangazaji aliye jitangaza kabisa kwamba yy ni 5imba,ila kasimamia ukweli hiyo ndiyo professional.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…